Telegram Description
From Telegram
Karibu katika channel hii ambayo inatoa mafunzo mbalimbali kuhusiana na dart programming na programming kwa ujumla. Lugha iliyotumika kufundishia ni lugha rafiki kwa mwanafunzi na inayofahamika kwa wengi sio lugha ambayo ina misamiati migumu. Karibuni
Category
No reviews yet. Be the first to review this channel.