SOKO LA KILIMO NA MIFUGO is a marketplace channel for buying and selling agricultural products and livestock, both locally and internationally. Participants are allowed to engage in transactions based on personal agreements, with a caution to be vigilant against potential scams.
Ni kundi la kuuza na kununua mazao na bidhaa za kilimo na mifugo ya ndani na nje ya nchi. Kila mtu anaruhusiwa kuuza au kununua chochote humu kwa kwa makubaliano binafsi. Uwe makini kabla ya kufanya manunuzi. Kundi halitahusika kwa utapeli utakaojitokeza.